1 Samuel 10:6

6 aRoho wa Bwana atakuja juu yako kwa nguvu, nawe utatoa unabii pamoja nao; nawe utageuzwa kuwa mtu wa tofauti.
Copyright information for SwhNEN